Fay akiimba kwa upako mkubwa akipewa tafu na Malaika Ngosso na mwanae. ufunguzi wa albam yake katika hoteli ya Hampton Inn College Park jijini Maryland Jumamosi Oktoba 5, 2013 na Jumapili ataendelea na sehemu ya pili ya ufunguzi huo ,vyakula na vinywaji vitatolewa kwa wote bila malipo mnakaribishwa kuanzia saa saba mchana.
Home
Unlabelled
Mwanamuziki wa Injili Fay Destiny azindua albam DMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...