Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KIPINDI MAALUM KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
the young guy with red shirt! is good! I am watching this program he always having good points! you guy don't worst your time in US...go back home you will get good position and you will change the country.! US you will never been seen DARLING.
ReplyDelete"You don't have to be a Communist to see that China has a lot to teach us in development. The fact that they have a different political system than ours has nothing to do with it."
ReplyDeleteJulius Kambarage Nyerere, as quoted in Donald Robinson's The 100Most Important People in the World Today, New York 1970.
Dr Gangwe.
nimewasilikiliza vizuri sana hawa jamaa...basi na mm ngoja nichangie machache.
ReplyDeleteHao wanaosema JK Nyerere alifeli kwenye siasa zake nafikiri hawajui walisemalo maana isngekuwa hio misingi mizuri aliotuachia hii nchi ingekuwa total rubbish...mwalimu mashirika ya umma yako wapi sasa hivi??viwanda viko wapi???na vitu chungu nzima..huyo anaewasifia Nigerians/Kenyans ni yy mwenyewe ndo ana inferiority complex kwa hao jamaa asituingize watanzania wote maana hao wakenya na wanigeria hawana lolote la kumtishia mmbongo zaidi ya ukabila wao..mie nimesoma nao hapa Oxford they know how Tzs do things..nilikua nawabeat mbaya sana darasani...hio aggressiveness anayoisema ni ujinga tuu hamna kitu...umaskini wa mtanzania enzi ya Nyerere huwezi kulinganisha na wa mataifa mengine ya afrika muhimu lazima muelewe formula inayotumika kuifanya nchi ni maskini!!!kwa kifupi tu maskini wa kenya ni balaa..angalia kibera compare na Manzese ndo utanielewa hapa..CONCLUSION-JK Nyerere ameiacha hii nchi kwenye misingi mizuri sana kwa kila kitu tatizo limekuja hivi karibuni la ufisadi na ubinafsi...J Kikwete nae amejitahidi sana kurudisha heshima ya hii nchi tatizo limekuja watu wa chini yake wengi ni wanafiki hawamsaidii katika kazi zao ...I wish EL angeendelea kuwa PM serikali hii ingetufikisha mbali.
Ngoja niwatathmini hawa wabeba mabox kama ifuatavyo:
ReplyDeleteMwenye tshirt nyeusi- huyu jamaa nampongeza sana ametoa point nyingi nzuri kuhusu JKN na hapa sasa tulipo.
tshirt ya kijani- jamaa ni mchangiaji hoja mzuri na wamempinga kuhusu govt kufanya biashara ..basi kwa taarifa yao govt karibu zote huku ulaya zinafanya biashara,mabank na makampuni mengi govt ina share zake ndo maana maban ya UK yalivyoanza kufilisika govt ilibidi kuingilia kati kupiga tough..Wakulima wa ulaya wanapewa subsidies kila uchao na JKN ndo alivyokua akifanya kwa hio msidanyike Gvt huku pia zinajiingiza indirectly kibiashara.
Polo shirt ya maroon- huyu jamaa bure kabisa kwanza yuko very inferior kwa wakenya/nigerians..type za hawa watu ndo wanaturudisha nyuma nchi yetu...inferiority complex kwa wanaija na wa aterere inamuangusha.
Tshirt nyekundu- This is my man,..jamaa anajua analoliongea nampa 100% yuko juu na anaongea ukweli mtu.
Shirt nyeupe- hajaongea sana but ana point nzuri sana pia za msingi na mwisho boss Jongo- RL poloshirt...duuh leo ameniangusha big time,..hajui kwa nn tulimtandika Idd Amin??hivi mtu ukiwa nyumbani kwako na familia yako na kuna mtu kila siku anakuchokoza unashindwa kufanya kazi vizuri, kipi bora umuache tu aendelee kukubugudhi au umpige na kumfukuza kabisa asirudi tena???hio hasara tulioipata hata US/UK ndo wanayoipata sasa hivi kwa kumuondoa Saddam Hussein...hio ni Newton's third law of motion...to any action theres an equal and opposite reaction..kwahio JKN alikua sahihi kabisa kumchapa Idd Amin na reaction ndo uchumi wetu ulivyoyumba.RIP JK Nyerere ....
Mdau wa Oxford.
Wachangiaji hapo juu; sio kweli Jk kaiacha nchi kwenye misingi mizuri Kama unavyo sema. Katuacha na mind set zinazo tuathili hadi Leo. Swala la inferiority complex wabongo tunalo, labda Kama unataka kuleta ligi tu. Huo ndio ukweli cha muhimu ni ku jitahidi kuachana na mind set za ujamaa.
ReplyDeleteHoyo jamaa mwenye bangili ya njano kaongea ukweli mtupu. Tatizo letu hatupendi ukweli tunataka kuupindisha. Sioni Kama kuna mtu kakataa serikali za wenzetu kufanya biz. Wameaema zina sub- contract.
Pia unaonekana wewe ni gamba unaye mpigia chepuo Lowassa na JK.
Mwisho, kipindi ni Kiziwi na wameongea vizuri nadiliki kusema kuliko vipindi vyote vilivyo pita.
Pia mvhangiaji hapo juu unasema JKN hakufeli kwneye siasa za ujamaa na kujitegemea? Azimio la Arusha? Nadiliki kusema Kama tungekuwa bado tunaendeleza zile siasa nadhani hata wewe ungekuwa kijijini kwenu sasa. Computer ingekuwa ndoto.
ReplyDeleteNakubaliana na mwenye shirt ya polo/red na maroon Kuwa Nyerere alifeli kiuchumi na katuacha choka mbaya
Habari ndio hiyo
Kijiwe cha Ughaibuni kimetupa mafunzo ya kumbukumbuku za baba wa taifa. Kama walivyochangia wadau wa UK hapo juu sitokuwa na zaidi labda uchambuzi kwa asilimia.
ReplyDeleteNotorious Big: T-shirt "mnyamwezi" kukosekana colgate ilikuwa c ishu kubwa kwa watanzania kiuzalendo kama wajamaa tuliridhika na dawa za wachina,muhimu kwetu umoja na amani,hata hivyo tunakupa sifa kubwa kwa matayalisho yote ya vipindi hongera saana,vigumu kukupangia asilimia kaka Big.
Shati Jeupe: Haukuongea sana umetoa points muhimu lakini fupi saana ulijiweka chini ya kivuli cha wengine,labda tukusikilize kipindi kingine vigumu kukupangia.
T-shirt polo 50%: Kijana "you are always my favourite" mara nyingi huja na "points" muhimu na zenye mafunzo kwa vijana-taifa,lakini hapa kwa baba wa taifa umeteleza vibaya saana,sijuwi kama wasemavyo wadau wa uk "inferiority complex" au kama nionavyo mimi "just lack of research" za ukweli wa umasikini na utajiri ulivyojitenga nchi za Kenya na Nigeria. Safari hii umeshuka kimtazamo nafahamu hatutokubaliana. Hata hivyo wewe ni kijana makini. Ningependa kukuona na kukusikia tena kikao kingine.
T-shirt nyeusi 75%: Fikra pevu,ulikuwepo tokea mwanzoni muungano wa tanganyika na zanzibar,kipindi cha kati serikali za umoja na bado upo kipindi tunachokwenda nacho hivi sasa, umetuelemisha na kutukumbusha mengi ni mafunzo mazuri ya kumwezi baba wa taifa ni fikra pevu za wazee "vigogo" wazito kama wewe.
T-shirt kijani 80%:umekuja na ufafanuzi wa kiusomi na hali ya juu,hamkukubaliana serikali na biashara,ukweli kimtazamo"direct au indirect" nchi zote zilizoendelea hata huku europe ni biashara na sisi watanzania sawa na nchi zilizoendelea tusipitwe na wakati hatuiuzi nchi na asilimali zake tunawekezea kibiashara ni mfumo mpya wa kisasa katika kukuza uchumi ulimwenguni,muhimu kuwepo na mikataba mizuri na viongozi waminifu wa kuitunza mikataba kwa kizazi kipya mbele yetu.
Finaly, T-shirt Nyekundu 100% zidi ya kutuchambulia,umewapa majirani zetu wa jadi na vijana-taifa ufafanuzi na mafunzo kwa nini watanzania bado tuna kukumbukumbu za baba wa taifa. Hongera saana kijana unayo "vission" ya maendeleo ya Tanzania. Ningependa kukuona na kukusikia tena kijiweni.
Mikidadi-Denmark
Kuhusu kuungana kwa USA ni hata wao walichapana sana.Kitu hap hawa baadhi yao hawajaenda shule kutambua wanachoongea.
ReplyDeleteHivi wanatambua jinsi LINCOLN IBRAHIM anavyosifika ni kwa sababu gani?Ni kuwa aliwalazimisha watu wa kuanzia Wisconsin,kwenda chini Texas kuungana walikuwa wamekataa.Na alifanya hivi kwa ajili ya usalama maana kuna States ni tajiri na nyingine si tajari kwa resources hivyo akaona usalama wa watu hawa ni kuunganisha hizi States kuwa nchi moja.
Kuhusu Nyerere,alifanya jambo KUUUUBWA sana ambalo kwa hilo tu tunampa MKONO WA HERI.
Je,ni nchi ngapi Africa zenye slums,nenda Kenya-Kibera,nenda South na kwengine kote ambapo walioingia madarakani kwa mara ya kwanza walivyopenda UBEPARI na sasa vizazi vya leo vinapata shida.
Jina yule mwenye T-shirt Nyekundu ni bure kabisa hajui analoongea kwani hata nadhani hajaenda shule anabeba mizigo tu1