Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani Ben Mwaipaya yuko wapi? Ni siku nyingi sana hatujamuona.

    ReplyDelete
  2. Dear Vijimambo
    Nashukuru kwa kutoa hiyo hoja ambayo inatukera wengi.
    Katika maongezi yenu ni mtu mmoja (jina sikumbuki-ana t-shirt nyeusi na bangili ya njano mkononi) kati yenu aliyeongea jinsi ya kutatua tatizo la ujambazi uluoibuka sasa Tanzania.Nakubali maoni yake kuwa tuna weak leadership na corrupted police,usalama wa taifa, mahakama n.k.
    Kama raisi anapata muda wa kutuma salam za miaka 53 kwa rais wa Nigeria,kwa nini asiwe na muda wa kusimamia na kutetea katiba ya watu anaowaongoza?.
    Tatizo jingine la viongozi Bongo na baadhi ya Vijimambo ni kuwa hatutaki kukubali kuwa TZ sasa kuna tatizo la udini, tunakaa tunajidanganya kuwa TZ ni kisiwa cha Amani?
    Katika swala la ujambazi jambazi,acid n.k,. kwa nini Police, Usalama wa Taifa, na mahakama hawajaadhibu hata mtu mmoja jela na wanaendelea kula pesa za wailpa kodi.
    Watu wanapigwa risasi na kuporwa pesa zao wakitokea benki! Na kwa nini wasiporwe wanapopeleka hizo pesa benki? Hivyo upelelezi wa ujangili kama huo uanzie hapo hapo benki .
    Vijimambo, Je mnaweza kuwa na muda wa dk 10-20 ktk kipindi chenu ili watu walio nje ya studio yenu au nje ya USA kutoa maoni yao live, e.g kwa kutumia Skype? Thanx.

    ReplyDelete
  3. Hongereni wote, mnajitahidi sana, ni kweli matatizo yapo ila tumezoea kuzima moto na funika kombe mwanaharamu apite ndio staili ya uongozi wetu.

    ReplyDelete
  4. matatizo yanayotokea tanzania yote chanzo ni rais. kama tungekuwa na strong president haya yote yasingetokea.kama kikwete angekuwa strict president kwenye nyanja zote haya yote yasinge tokea. kikwete is worst president ever. anawaza safari kuliko wananchi wake,ni rais asiyekuwa na maamuzi anaonekana hajiamini hata kidogo...hata mawaziri wake wanafanya mambo hata yasio na manufaa kwa nchi wakijua kwamba hamna atakae wauliza(rais)....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...