NOABI MUHANDO
1922 - 1993
TUNAKUKUMBUKA SANA
MAMA YETU MPENDWA LEO TAREHE 24/10/2013 UMETIMIZA MIAKA 20 TANGU UTUTOKE GHAFLA BILA NENO LA KWAHERI BAADA YA KUGONGWA NA GARI UKITOKEA KANISANI
TUNAKUKUMBUKA SANA MAMA KWA MALEZI ULIYOTUPATIA, UPOLE WAKO, UKARIMU, HEKIMA, BUSARA, UCHESHI NA MWONGOZO ULIOTUPATIA KATIKA MAISHA YETU
UNAKUMBUKWA SANA NA MUMEO PHENIHAS, WANAO PENINA, JESCA, RAYMOND, BENJAMIN, FLORA NA FRANK, WAKWE ZAKO VICKY, JULIE NA JACQUILINE, WAJUKUU, VITUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE TUKIAMINI UMEPUMZIKA KWA AMANI. RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA NA NURU YA DAIMA IKUANGAZIE, UPUMZIKE KWA AMANI MAMA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...