Mh.Prof.Anna Tibaijuka(mb),Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi, mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya siku ya fimbo nyeupe ambayo kitaifa imefanyika mkoani Kagera Leo.Kushoto kwake ni naibu waziri wa Aya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid(mb) na kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe wakipokea maandano ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe.

Washiriki wa siku ya fimbo nyeupe wakipita Mbele ya mgeni rasmi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...