Naibu Mwakilishi wa Shirika la Hans Sedel
Kanda ya Afrika Mashariki Konrad akimkabidhi moja ya kitabu cha Haki na
ulinzi wa mtoto Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi
la Polisi Paul Chagonja wakati wa hafla fupi ya Makabidhiano ya nakala
10600 za vitabu vya Haki na ulinzi wa mtoto, Fahamu misingi ya amani na
usalama katika familia pamoja na stika 4000 za kupambana na rushwa
zilizochapishwa na shirika hilo kwa lengo la kulisaidia jeshi la Polisi
katika kupambana na uhalifu jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni Mkuu wa
huduma za Polisi Jamii Naibu Kamishna Michael Kamhanda.
Naibu Mwakilishi wa Shirika la Hans Sedel Kanda ya Afrika Mashariki Konrad akimkabidhi moja ya stika za kupamba na rushwa Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja wakati wa
hafla fupi ya Makabidhiano ya nakala 10600 za vitabu vya Haki na ulinzi
wa mtoto, Fahamu misingi ya amani na usalama katika familia pamoja na
stika 4000 za kupambana na rushwa zilizochapishwa na shirika hilo.Kulia
ni Mkuu wa huduma za Polisi Jamii Naibu Kamishna Michael Kamhanda.
Naibu
Mwakilishi wa Shirika la Hans Sedel Kanda ya Afrika Mashariki Konrad
Teichert akizungumza katika hafla fupi ya Makabidhiano ya nakala 10600
za vitabu vya Haki na ulinzi wa mtoto, Fahamu misingi ya amani na
usalama katika familia pamoja na stika 4000 za kupambana na rushwa.Kulia
ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja
pamoja na Mkuu wa huduma za Polisi Jamii Naibu Kamishna Michael
Kamhanda. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...