Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wafuasi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Jadida Wete.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (CUF) Salim Bimani akitoa dondoo kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Jadida Wete.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Massoud Hamad, akitoa dondoo kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Jadida Wete.
Mfuasi wa CUF akifuatilia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jadida Wete, wakati Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia.picha na Salmin Said, OMKR
Kwa kweli abaa CUF kwa watoto wa kike wenye sura za kupendeza waongoza, bora pia ingekuwa hivyo kwa siasa safi.
ReplyDelete