Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kutoka (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli na (kushoto) kwa Makamu ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na Naibu Katibu Mkuu wa Ujenzi. Picha zote na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa moja kati ya Nyumba 851, baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na (kulia) ni Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Bunju B, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
 Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza machache na wananchi wa Bunju B, kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, kuwahutubia Wanancnhi hao, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga, wakati akikagua ramani za ujenzi wa Makazi ya Nyumba 851  za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bunju mpaka Posta kwenye maofisi ya umma ni mbali kweli kweli. Hima reli ijengwe Bagamoyo kwenda katikati ya jiji la DSM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...