Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika wilayani humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na baadhi ya viongozi ndani ya Kivuko hicho baada ya kukizindua.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizunguma na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kazi nzuri Muheshimiwa Magufuli .... ijapokuwa uko wakati mwingine wakuu wako wanakupa "hard time" lakini never give up! wananchi wanatambua jitihada zako!

    ReplyDelete
  2. HAYA BAADA YA MIAKA 100 YAMEKUWA KWELI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...