Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu ya Mafunzo Elizabeth John mara baada ya kumaliza mchezo wake na Magereza na kuchukua nafasi ya pili ya ligi ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.
Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu ya JKT Mwanaidi Hasan. Baada ya Timu hiyo kutwaa ubingwa wa Netboll katika ligi ya Muungano.
Rais
wa Chaneta Bi. Anna Kibira akizungumza na wachezaji mara baada ya
kumaliza kwa ligi ya Muungano iliyofanyika Jimkana Mjini Zanzibar jana.
Kushoto mgeni Rarmi Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud na katikati
Rais wa Chaneza Bi. Rahma Ali Khamis.
Mchezaji Amina Shada (GK) wa timu ya Magereza akidaka mpira mbele ya mchezaji Dela wa Timu ya Mafunzo ya Zanzibar katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana. Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.
Mchezaji wa tum ya Mafunzo Dela akidaka mpira mbele ya walinzi wa Timu ya Magereza katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...