Mama Mzazi wa Helena Ndile akizungumza machache kwa mwanae ambayo yatamsaidia kwenye maisha ya ndoa wakati wa kitchen party yake kwenye ukumbi wa Lulu Social Hall jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo
 Msanii wa kufanya vichekesho MC Pilipili akichekesha wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za Kitchen za Bi. Helena Ndile.
 Wageni waliohudhuria sherehe hiyo ya Kitchen Party wakiwa hawana mbavu kutokana na vichekesho vya MC Pilipili.
 Mama na Mwana wakilisakata rhumba 
 Helena Ndile akikabidhi keki kwa mawifi zake.
 Wa Mama wa kikundi cha Upendo kilichopo Lumumba ofisi ndogo za CCM wakipeleka zawadi zao kwa mdogo wao Helena Ndile.
 Helena Ndile akiwa kwenye picha ya pamoja na mawifi zake
Helena Ndile akipata maelezo ya zawadi mbali kutoka kwa dada yake Edna Ndile.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I loved it. Hongera Helena, Mungu akutangulie katika maisha unayenda kuanza.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana sana Helena. Mungu akutangulie katika maisha yako mapya unayoenda kuyaanza. Ubarikiwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...