Home
Unlabelled
mdau unaweza ielezeaje picha hii??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmoja ni mlemavu na mwingine ananguvu zake
ReplyDeleteHali ya maisha ni ngumu
ReplyDeleteAliye pembeni na aliye mbele ya DCM wote in ombaomba ila kwa staili tofauti.
ReplyDeleteMmoja kaweka kipepsi,mwingine mlemavu anaomba na mwingine ana nguvu anajitafutia riziki bila leseni.
ReplyDeletemmoja anoasha kioo mwingine anaomba ngawira
ReplyDeleteHuyu anayejifanya kuosha gari ni mbabaishaji tuuu. Atafute kazi ya nguvu afanye. Mwenye ulemavu aomba kwa hiari, mwasho gari aomba kwa kulazimisha.
ReplyDeleteHapoo ni kwenye foleni ambapo waweza kukaa hadi lisaa limoja ukisubiri Trafiki aruhusu upande wenu. Hivyo wadau wanachukua muda huo kufanya mambo mengine kama uonavyo hapo juu. Siku hizi pia mataa ya Ubungo kutokea mwenge kuna Mobile Toilets kwani waweza kaa hadi masaa mawili ukisubiri Mh. trafick
ReplyDeleteNdo hivyo kilamtu anajitafutia rizki
ReplyDeleteKhatari lakini salama.
ReplyDeletehawa jamaa wanakuvamia na kuanza kuosha kioo. Ukikataa kuwapa hela wanakuvunjia kioo.
ReplyDelete