Kutoka Kulia Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim, Nahodha Msaidizi wa Timu ya Soka ya Wahariri Saleh Mohamed, Nahodha wa timu hiyo Kulwa Karedia na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu wakionesha sehemu ya vifaa mbalimbali vya michezo vilivyotolewa na Vodacom kuwezesha mechi kati ya timu ya Wahariri na Timu ya wanahabari wa Mkoa wa Iringa. Mechi hiyo itachezwa mwishoni mwa wiki mjini Iringa.
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akikabidhi kwa Nahodha wa Timu ya Soka ya Wahariri Kulwa Karedia vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya timu yake na ya wanahabari wa mkoa wa Iringa vyenye thamani ya Sh 3 Milioni. Timu mbili hizo zinakutana kwenye mechi ya kirafiki itakayochezwa mjini Iringa mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(wa kwanza kushoto) na Nahodha Msaidizi Saleh Mohammed.
Nahodha wa timu ya soka ya Wahariri nchini Kulwa Karedia akiongea na waandihsi wa habari(hawapo pichani)muda mfupi kabla ya kupokea vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya timu yake na ya wanahabari wa mkoa wa Iringa vyenye thamani ya Sh 3 Milioni. Timu mbili hizo zinakutana kwenye mechi ya kirafiki itakayochezwa mjini Iringa mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...