Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza mwanzini mwa siku ya tatu ya semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, katika ukumbi wa Sekretarieti, Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa mada kuhusu namna nzuri ya kuandaa mikutano, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wa semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM, wakiwa wamefurika ukumbini katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...