Viongozi mbali mbali wanaohudhulia Mkutano wa 6 wa Wadau wa LAPF wakielekea ukumbi wa mkutano wa AICC,Jijini Arusha. Toka Kushoto ni Mkurugenzi wa LAPF,Eliud Sanga,Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudensia Kabaka,Waziri wa TAMISEMI,Mh. Hawa Ghasia,Mwenyekiti wa Bodi ya LAPF,Prof. Hasa Mlawa na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,Irene Isaka.
Waziri wa Kazi, Gaudensia Kabaka akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji, LEPF, Valerian Mablangeti. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akisamilimiana na Meneja Matekelezo wa LAPF, Valerian Mablangeti.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitunukiwa zawadi na Waziri Hawa Ghasia.
Waziri wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akipokea zawadi kutoka kwa M:Kiti, Bodi ya Udhani wa LAPF, Prof. Hasa Mlawa. Wanoshuhudia ni Hawa Ghasia, Irene Isaka na Eliud Sanga.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, akifunga Mkutano Mkuu wa 6 wa LAPF mjini Arusha. Kusho ni Waziri Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio nao walikuwepo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...