Home
Unlabelled
MOJA YA KAULI ALIZOWAHI KUZITOA HAYATI BABA WA TAIFA,MWL. JULIUS NYERERE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kila raia agawiwe ardhi yake ndivyo walivyofanya Bulgaria. Watakaokuwa wavivu watauza wenyewe ardhi zao.
ReplyDeleteNA NDIVYO ILIVYO SASA MZEE HUYU ALISHALIJUA HILO MAPEMA
ReplyDeleteArdhi iwepo kwa ajili ya wote vijana watafute fursa katika Ardhi tuondoe umasikini na kukaa bila kazi tusije tukafikia kuona watu wetu wakikimbia nchi kutafuta fursa wakati fursa kibao za kuwekeza na kuendeleza mikoa, wilaya, vijiji za wazawa ziko hapa. Tujifunze kutoka Italia vijana wengi toka Afrika wamezama na kufa maji wiki iliyopita wakitafuta fursa kwenye nchi zenye matatizo yao.
ReplyDelete