Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Mbunge wa Iramba Magharibi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba akisisitiza Jambo katika hotuba yake aliyoitoa hapa nchini Uingereza iliyojaa mapenzi na Tanzania zaidi ya Itikadi na kupokelewa vyema na watanzania wengi
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Mbunge wa Iramba Magharibi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama. Kwa habari kamili na picha zaidi:
katika kiswahili asilia hakuna neno AUNGURUMA , neno linalokubalika ni 'anguruma ', hii ilitokana na kuna baadhi ya makabila ambayo yalikuwa hayawezi kutamka neno 'anguruma' wakawa wanatamka 'aunguruma' mzee kifimbo yuko wapi atembeze bakora?
ReplyDelete