Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akikata utepe
kuzindua mabanda ya maonyesho ya madini ya kimataifa ya vito na
usonara leo katika hoteli ya Mount meru jijini Arusha.
Naibu Waziri wa nishati na Madini Steven Masele akiwa katika moja
ya banda la Maonyesho la Raia wa Kongo akikagua madini yanayoonyeshwa
katika banda hilo.
Masele akikagua banda la kampuni ya GIA ya Afrika Kusini ambayo
imekuwa ikihusika na kutoa elimu kuhusiana na madini katika nchi za
Afrika.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akielekea kutembelea
mabanda ya maonyesho katika viwanja vya hoteli ya Mount meru, kulia
kwake ni Mwenyekiti wa maandalizi ya maonyesho hayo, Peter Pereira
5Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akitoa hutuba yake ya
ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya madini na usonara yanayofanyika
jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru leo.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya madini ya kimataifa
wakimsikiliza Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele (hayupo
pichani), katika viwanja vya hoteli ya Mountmeru leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...