Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori, akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa tano wa wadau wa NSSF, uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza. (Picha na Sitta Tuma)
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Injinia Evarist Ndikilo (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (wa pili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu jijini Mwanza.

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...