Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema ujangili wa pembe za ndovu na faru ni tatizo la kimataifa linaolohitaji kutokomezwa kwa ushirikiano huku akitaka mataifa makubwa kudhibiti soko la pembe hizo, hatua ambayo amesema inaweza kukomesha uwindaji haramu unaoathiri utalii barani Afrika. 
 Katika mahojiano amaaluma na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa mjini New York, rais Kikwete ambaye pia ameelezea hatari ya ugaidi nchini mwake na duniani kwa ujumla amesema hata hivyo nchi yake imechukua tahadhari kujihami na mashambulizi hayo. Kwanza Rais Kikwete anaanza kufafanua ukubwa wa tataizo la uwindaji wa pembe za ndovu na faru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Raisi wangu nakushukuru sana kwa busara za kufikiria kutumia Jeshi letu ambalo ndo pekee linaonekana kuwa makini kati ya vyombo vya usalama.Binafsi ningeomba serikali ielekeze silaha zote kwenye Rushwa ambayo ndo mzizi wa kila kitu.Serikali inaonekana ina uwezo wa kufanya mambo mengi ilimradi kuna utashi,mf Kimbunga nk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...