Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki
na Magharibi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Bibi Harriet
Mathews,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) ni Balozi wa
Uingereza Nchini Tanzania Bibi Dianna Melrose.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika
Mashariki na Magharibi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Bibi
Harriet Mathews,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo Mchana.[Picha na
Ramadhan Othman.Ikulu.]


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...