![]() |
Meza kuu. |
-Upungufu wa walimu hasa baada ya baadhi ya walimu wa shule hiyo kwenda kujiendeleza masomo ya elimu ya juu.
-Upungufu wa vitabu vya kiada na rejea.
-Upungufu wa matundu ya vyoo nane vya wavulana na vitano vya wasichana.
-Ukosefu wa rasilimali fedha kwaajili ya kukamilisha nyumba moja ya walimu ambayo mpaka sasa tayari imeezekwa lakini ikihitaji hatua ya ukamilishaji wa madirisha, milango, sakafu, vyoo, rangi, jiko, stoo, bafu mfumo wa maji na umeme ambapo Kampuni ya Ran IT Solution Limited (EA) LTD, Lugumi Enterprises LTD na KZ Secury imeahidi kumalizia nyumba hizo za waalimu.
![]() |
Aidha Run IT Solutions (EA) Limited, Lugumi Enterprises LTD na KZ Secury imeahidi kuweka uzio kwa moja ya maeneo ya shule hiyo ili kudhibiti uvamizi wa mipaka ya shule. |
![]() |
Picha ya Pamoja na Maskauti wa Shule. |
Hayo matundu ya vyoo vya wasichana na vyoo vya wavulana yangechengishiwa pesa hapo hapo siku ya mahafali tatizo hilo lisingekuwapo.. Walimu wakuu wachangamke wahusishe wazazi na jamii zinazowazunguka kumaliza matatizo madogo madogo.
ReplyDeletegod bless RAN IT na staff wake wote mMUNGU awazudishie pale palipo pungua
ReplyDelete