Huu ndiyo umati  unaohudumiwa na vijana arobaini wa Redcross waliojitolea,kwa tatizo lolote,
 Mwenyekiti wa Tawi la MZIZIMA branch Ilala Dr,Suphian aliyevaa kofia nyekundu katikati akitoa maelekezo kwa wanachama wa Red Cross Tanzania na Germany  ya kuokoa waliozama maji,kupotea,kuumia,na mengineyo
 Wanachama wa Redcross Tanzania na  wa Redcross Germany wakiwa katika majukumu  hapo ufukweni.
Mwenyekiti wa Mzizima branch aliyeshika kipaza sauti akihojiana na kijana  aliyepotezana na jamaa zake  hapo ufukweni mwenye umri wa miaka saba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...