
Katika
mahojiano hayo pamoja na mambo mengine alizungumzia majukumu ya kamati
yake pamoja na changamoto zinazowakabili katika kutekeleza majukumu hayo
ikiwa ni pamoja na urasimu, kuwapa nafasi ya wakandarasi wazawa,
Millenium Challenge akaunt na mengine mengi.
Akijibu
swali kuhusu tatizo la urasimu ameeleza kuwa e-government au serikali
mtandao na mpango wa rais Kikwete wa BRN-(Big Results Now) kuwa ndio
njia itakayosaidia kutatua tatizo hilo la urasimu ungana na VOA kwa
kubofya hapa.
Kusikiliza mahojiano hayo bofya hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...