Picha ya ramani ya kiwanda kitakavyokuwa ikikamilika kazi ya Ujenzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Meis Merey Ally Saleh akimpokea Dr
Rashid aliyetembelea kukagua kazi za ujenzi wa kiwanda cha saruji
mjini Lindi.
Mhandisi Rashid wa Sharjah alievaa kilemba akiangalia
mchoro wa ujenzi alipokuwa akikaua eneo la Ujenzi ambapo Mkurugenzi wa
Meis na Meneja wake wakitolea maelezo.
majengo na kazi
inavyoendelea ya ujenzi wa kiwanda hicho.
Na Abdulaziz Lindi
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Nchi ya Sharjah UAE, Mhandisi Rashid Al Leem amefurahishwa na hatua ya Kampuni ya Meis kuanza kwa kasi ujenzi wa kiwanda cha saruji katika wilaya ya Lindi huku akiutaka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza juhudi ili kukamilisha kwa wakati kama ilivyokusudiwa ili mji huo uongeze ajira hali itakayosaidia kuinua Uchumi.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Barclays Bank Tanzania wanayo taarifa ya Ujenzi na Uwekezaji huu wa Kiwanda cha Simenti?
ReplyDeleteNi vema Benki ikapewa taarifa ili angalau hata kama wanalipa Ujenzi Matajiri wa Uarabuni Benki ya BARCLAYS BANK TANZANIA LTD inaweza pata kazi ya kupitishia Mishahara ya Wafanyakazi wa Kiwanda !