Picha ya ramani ya kiwanda kitakavyokuwa ikikamilika kazi ya Ujenzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Meis Merey Ally Saleh akimpokea Dr Rashid aliyetembelea kukagua kazi za ujenzi wa kiwanda cha saruji mjini Lindi.
Mhandisi Rashid wa Sharjah alievaa kilemba akiangalia mchoro wa ujenzi alipokuwa akikaua eneo la Ujenzi ambapo Mkurugenzi wa Meis na Meneja wake wakitolea maelezo.
majengo na kazi inavyoendelea ya ujenzi wa kiwanda hicho.

Na Abdulaziz Lindi

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Nchi ya Sharjah UAE, Mhandisi Rashid Al Leem amefurahishwa na hatua ya Kampuni ya Meis kuanza kwa kasi ujenzi wa kiwanda cha saruji katika wilaya ya Lindi huku akiutaka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza juhudi ili kukamilisha kwa wakati kama ilivyokusudiwa ili mji huo uongeze ajira hali itakayosaidia kuinua Uchumi. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Barclays Bank Tanzania wanayo taarifa ya Ujenzi na Uwekezaji huu wa Kiwanda cha Simenti?

    Ni vema Benki ikapewa taarifa ili angalau hata kama wanalipa Ujenzi Matajiri wa Uarabuni Benki ya BARCLAYS BANK TANZANIA LTD inaweza pata kazi ya kupitishia Mishahara ya Wafanyakazi wa Kiwanda !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...