Mkurugenzi wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) Dkt. Ellen Senkoro bahasha yenye nembo ya kampuni GGM kama ishara ya kupokea msaada wa kiasi cha Sh. milioni 50 za kitanzania mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa BMAF.
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) Dkt. Ellen Senkoro (kulia) akisisitiza jambo wakati wa makabidhiano ya msaada wa kiasi cha Sh. milioni 50 za kitanzania mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa BMAF. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki.
Mkurugenzi wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Geita Gold Mine (GGM) Balozi Richard Mariki (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa makabidhiano ya msaada wa kiasi cha Sh. milioni 50 za kitanzania mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa BMAF. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) Dkt. Ellen Senkoro.Picha zote na Lorietha Lawrence-Maelezo.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...