Rais Jakaya Kikwete akiweha saini katika kitabu cha wageni katika banda la  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU)  alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa Jumatatu.
 Banda la UHAMIAJI
 Mama Salma Kikwete katika banda la UHURU na MZALENDO
 Rais Kikwete akikaribishwa katika banda la UHURU na MZALENDO na msimamizi wa banda Bakari Mkhondo
 Akiangalia picha mbalimbali za kumbukumbu ya Baba wa Taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Katika wooote hao mimi napendekeza zaidi Maafisa wa UHAMIAJI muimarishe Ulinzi zaidi kwa kuwa hii hali ya maisha bora TANZANIA chini ya Raisi Kikwete inafanya WIMBI KUBWA LA WAHAMIAJI HARAMU kupiga kambi na kuihsi nchini hivyo UHAMIAJI MNATAKIWA MKAZE UZI NA KUFUNGA MIKANDA SANA!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...