Mshambuliaji wa Timu ya Mtende,Ali Mohamed (kushoto) akichuana vikali na Beki Abdulhalim Abdalla wa Timu ya Mafunzo,wakati wa mchezo wao wa Ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar,uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Amani,Zanzibar.hadi mwisho wa mchezo timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoa sare ya bila kufungana.
Beki wa Timu ya Mafunzo,Hassan Ahmada akimzuia Mshambuliaji wa Timu ya Mtende,Ali Mohamed asiupate mpira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...