Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa Iramba magharibi Mwigulu Nchemba alifanya ziara hivi karibuni jijini Washington Dc na alizungumza na watanzania pia alipata nafasi ya kutembelea idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika(VOA). 
Katika mahojiano yake pamoja na mambo mengine alielezea kazi za chama chake na suala la elimu nchini Tanzania Kuhusu suala la shutuma za kushuka elimu nchini humo alisema "tatizo la waafrika tunapima uwezo wa wanafunzi kwa kutumia lugha" aliongeza kuwa wanafunzi wanao uwezo ila hawapati nafasi ya mafunzo ndani ya kazi yaani nadharia kwenye maeneo ya kazi. 
 Aidha alipoulizwa kuhusu suala la kusafiri na mshauri wa rais amesema ni kwa kuokoa gharama na kuwaita kwenye mkutano wa vyama katika muda wake wa ziada na amechukuliwa kwenye mkutano wake na chama kinamgharamia kwa yale yasiyohusisha serikali aliongeza. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. UONGOZI wa DMV wataishia kufundisha kimakonde nimeofa kufundisha sanyansi na hisabati bure kwa levo zote yani hata hawajibu bor marehemu unahua amekufa nita gombea urais DMV usa soon na 2015 wa Tanzania
    http://tzforchage.wordpress.com/2012/08/02/2015-presidential-bid-for-tumaini-geofrey-temu/

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa anamawazo mazuri na uono si kama anavyopakwa matope na wapinzani wake,anayo mawazo chanya na anastahili ktk nafasi aliyonayo.......

    ReplyDelete
  3. Kuhusu elimu kiukweli ilistahili iwe bure kabisa na si haya masuala ya kukopeshana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...