Wadau Globu ya Jamii kutoka nchini Tanzania wakiwa katika ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za  imani ya Dini ya Kiislam,anaeonekana mbele ni Mdau Jamal Hashim wa TBC..
Wadau kutoka nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za  imani ya Dini ya Kiislam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Muumba awalipe ili muweze kufaulu pepo

    ReplyDelete
  2. Hongera zenu za dhati kwa kutimiza nguzo ya uislamua

    ReplyDelete
  3. In sha ALLAh HAjjn MAbruuran , MAqbuul... na wasojaalie In sha ALLAH atuite tuje Amin, tuombeeni nasie jamani

    ReplyDelete
  4. Masha Allah. Mwenyeez Mungu awajaaliye kila la kheri ziswihi na kufuzu pia azitaqabbal IBADA zenu zote mlizokwenda kuzitekeleza huko - AMEEN. Si haba kaweza kuwajaaliya kuitimiza nguzo hii muhimu ambayo ni ya Tano kati ya zake tano za Uislamu.

    In Sha Allah, tunakuomba Sub'hana, nasi tuliokuwa bado na nia ingalipo panapo uhai na uzima, basi utuwezeshe na utujaaliye tujekuwa miongoni mwa waja wako watakaojaaliwa kuikamilsha IBADA hiyo ya HIJJA. IN SHA ALLAH - AMEEN.

    ReplyDelete
  5. MashALLAH hongerni kwa kuitimiza nguzo hiyo ibada zenu ziwe MAQBUL inshALLAH mmalize na mrudi salama nyumbani kwa uwezo wa ALLAH.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...