Wadau Globu ya Jamii kutoka nchini Tanzania wakiwa katika ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za imani ya Dini ya Kiislam,anaeonekana mbele ni Mdau Jamal Hashim wa TBC..
Wadau kutoka nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za imani ya Dini ya Kiislam
Muumba awalipe ili muweze kufaulu pepo
ReplyDeleteHongera zenu za dhati kwa kutimiza nguzo ya uislamua
ReplyDeleteIn sha ALLAh HAjjn MAbruuran , MAqbuul... na wasojaalie In sha ALLAH atuite tuje Amin, tuombeeni nasie jamani
ReplyDeleteMasha Allah. Mwenyeez Mungu awajaaliye kila la kheri ziswihi na kufuzu pia azitaqabbal IBADA zenu zote mlizokwenda kuzitekeleza huko - AMEEN. Si haba kaweza kuwajaaliya kuitimiza nguzo hii muhimu ambayo ni ya Tano kati ya zake tano za Uislamu.
ReplyDeleteIn Sha Allah, tunakuomba Sub'hana, nasi tuliokuwa bado na nia ingalipo panapo uhai na uzima, basi utuwezeshe na utujaaliye tujekuwa miongoni mwa waja wako watakaojaaliwa kuikamilsha IBADA hiyo ya HIJJA. IN SHA ALLAH - AMEEN.
MashALLAH hongerni kwa kuitimiza nguzo hiyo ibada zenu ziwe MAQBUL inshALLAH mmalize na mrudi salama nyumbani kwa uwezo wa ALLAH.
ReplyDelete