
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpatia zawadi ya marimba Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpatia zawadi ya kinyago cha faru Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga .
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...