Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Baadhi ya washirki wa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na China wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano huo kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini, Juliet Kairuki akizungumza katika mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines ,BW. Chen Feng kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mfano wa ndege kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines ,BW. Chen Feng baada ya mazungumzo yao kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines,BW. Chen Feng kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.Katikati ni Balozi wa China nchini Tanzania,Lu Youqing

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa nini China ni mshirika mzuri wa Tanzania lakini hakuna ndege ya moja kwa moja (direct flight) toka china hadi Tanzania, tanzania hadi China? Nadhani ni vizuri viongozi wa serikali wakaliangalia hili na kulichukulia kama fursa ya kukuza biashara baina ya nchi hizi.

    ReplyDelete
  2. ombi tayari lishafanyiwa kazi sahv kutakuwa na direct flight to china.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...