Msafara wa magari kupitia barabara ya kyela tukuyu wakitangaza uzinduzi wa kampeni ya nani matani jembe inayo shindanisha mashabiki wa yanga na simba kampeni hiyo inaendeshwa kuptia bia ya kilimanjaro premium lager.
Wasani wa kikundi cha chacharito group wakiwa pagawisha mashabiki wa simba na yanga kupitia kampeni ya nani mtani jembe katika bar ya Free park iliyopo uyole jiji la mbeya.
Shabiki wa yanga Bonifas Mwamboneka akikabidhiwa jezi ya timu ya yanga baada ya kujishindia kulenga mpira kwenye goli katika kampeni ya nani matani jembe kupitia bia ya kilimanjaro premium lager iliyo fanyika katika bar ya Free park iliyopo uyole jiji la mbeya.
Shabiki wa simba Zawadi Njengaje akifurahia jezi ya simba baada ya kulenga goli huku akiwa amefungwa kitamba katika kampeni ya nani mtani jembe kwa mashabiki wa simba na yanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...