Hadi mwisho wa mchezo ubao ulisomeka hivi. (Picha na John Dande)
Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Mtibwa Sugar Paul George.
 Mashabiki wa Yanga.
 Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Paul George.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara shidi ya Mtibwa sugar uliofanyika leokwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. Picha na Francis Dande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hahahahahahaaaaa habari ndoo hiyo.

    ReplyDelete
  2. Mtibwa walisema wanakuja kuufukuzisha uongozi wa yanga.... haya kikowapi????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...