Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akizungumza na Balozi wa Sudan Jumuiya ya Ulaya Mhe. Fidail Eltigani. Balozi Eltigani alifika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya - Brussels kumweleze Balozi Kamala uamuzi wa Mabalozi wa ACP kanda ya mashariki wa kumteua kuingia kwenye Troika ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific. Balozi Kamala atakaa kwenye Troika kwa kipindi cha miezi kumi na nane na kuanzia Januari 2014 atakuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific - Brussels.
Home
Unlabelled
Balozi Kamala Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Troika ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific (ACP)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...