Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AWAPOKEA WAFANYABIASHARA KUTOKA UBELGIJI WALIOWASILI ZANZIBAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhe.Balozi Kamala anaipeperusha vema Bendera na Tanzania popote alipo!
ReplyDeleteNi dalili ya Uzalendo kwa mwenendo wake.
Pana Mdau mmoja liwahi kuandika humu kuwa eti ohhh Mhe. Kamala amezidisha sana kuvaa Tai ya Bendera eti hata hafui!
Sasa hivi Mdau Mhe. Kamala alikwambia kwamba ana pea moja tu ya Tai na kwamba hana ingine?
TUIPENDE TANZANIA KWA MOYO NA VITENDO !

Mdau wa juu:
ReplyDeleteWatu wa namna hiyo Uzalendo wao ni sifuri (huyo aliyekuwa anapinga Mhe. Balozi Kamala kuvaa Tai yenye rangi za Benera ya Tanzania) hawatufai kabisa nchini!
Utakuta huyo Mjinga anaye lalamika anavaa Fulana yenye Bendera ya Uingereza au Marekani.