Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia kifaa kipya kabisa cha mawasiliano ya kompyuta Maarufu ipad kwenye kampuni ya Microsoft akishuhudiwa na Waziri wa Biashara Kushoto yake Mh. Nassor Ahmed Mazrui. Kulia yake ni Mtaa lamu wa Kompyuta wa Kampuni ya Maicrosoft Mhandisi Daniel Moloznk na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akibadilishana mawazo na Mawaziri wake aliofuatanao nao katika ziara yao Nchini Marekani. Kushoto yake ni Mh. Nassor Ahmed Mazrui Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko na kulia yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.
Balozi Seif akiagana na Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Kimataifa wa Misaada wa Bill na Melinda Gates Bibi Arlene Mitchell mara baada yha mazungumzo yao katika Ofisi ya Mfuko huo zilizopo kati kati ya Jiji la Seattle. Kati kati yao ni Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii ni nafasi nzuri ya kujifunza na kupata maarifa kwa watanzania ila viongozi wetu mpo kibinafsi zaidi na kujitafutia 10% zenu tu.
    Mkirudi huko dili zote mtawapa watoto na ndugu zenu badala ya kulinufaisha taifa letu.

    ReplyDelete
  2. Uncle unaweza kurekebisha hapo maelezo ya picha nathani hiyo computer ambayo mheshimiwa anangalia inaitwa surface tablet ambayo Microsoft wanatengeneza siyo ipad ambayo imetengenezwa na Apple

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...