Meneja wa Maabara ya Kampuni ya Usafishaji wa Mafuta ya ABS ya Ajman Bibi Farzana Waqar akimpatia darasa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Idd na Ujumbne wake walipokuwa katika ziara ya kukagua maeneo huru ya uwekezaji Nchini Sharja.
Mwenyekiti wa Kampuni ya huduma za Meli na usafishaji mafuta ya ALCO Bw. Syed Ijaz Hassan akimkaguza Balozi Seif na Ujumbe wake kwenye kara karana za Kampuni hiyo Mjini Ajman Nchini Sharja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na ujumbe wake akikagua harakati za ujenzi wa Bodi Mpya pamoja na matengenezo ya Meli kwenye chelezo kilichomondani ya eneo hujru la uwekezaji katika eneo la Hamriya Sharja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani moja ya sifa ya mwandishi ni kujifunza ili upate uhakika wa unachowapasha wasomaji/wasikilizaji.
    Hakuna kitu kama nchi ya Sharja kama vile ambavyo hakuna nchi ya Texas au Washington.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...