Meneja wa Maabara ya Kampuni ya Usafishaji wa Mafuta ya ABS ya Ajman Bibi Farzana Waqar akimpatia darasa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd na Ujumbne wake walipokuwa katika ziara ya kukagua maeneo huru ya uwekezaji Nchini Sharja.
Mwenyekiti wa Kampuni ya huduma za Meli na usafishaji mafuta ya ALCO Bw. Syed Ijaz Hassan akimkaguza Balozi Seif na Ujumbe wake kwenye kara karana za Kampuni hiyo Mjini Ajman Nchini Sharja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na ujumbe wake akikagua harakati za ujenzi wa Bodi Mpya pamoja na matengenezo ya Meli kwenye chelezo kilichomondani ya eneo hujru la uwekezaji katika eneo la Hamriya Sharja.





Jamani moja ya sifa ya mwandishi ni kujifunza ili upate uhakika wa unachowapasha wasomaji/wasikilizaji.
ReplyDeleteHakuna kitu kama nchi ya Sharja kama vile ambavyo hakuna nchi ya Texas au Washington.