Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilakiwa kwa ngoma katika mkutano wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye asili ya Bara la Afrika wa Kaskazini Mashariki ya Pacific unaofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya Red Lion kati kati ya Mji wa Seattlle Jimbo la Washington Nchini Marekani.
Burudani katika mkutano wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye asili ya Bara la Afrika wa Kaskazini Mashariki ya Pacific unaofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya Red Lion kati kati ya Mji wa Seattlle Jimbo la Washington Nchini Marekani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia mkutano wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye asili ya Bara la Afrika wa Kaskazini Mashariki ya Pacific unaofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya Red Lion kati kati ya Mji wa Seattlle Jimbo la Washington Nchini Marekani. Kwa habari kamili na mapicha zaidi





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...