Mhe, Shinzo Abe Waziri Mkuu wa Japan akiongea na Mhe Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia ambae pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji na Mweka Hazina Mkuu wa UMOJA WA WABUNGE MASKAUTI DUNIANI (World Scout Parliamentary Union (WSPU), nyumbani kwa Waziri Mkuu huyo Shinjuku, Tokyo, Japan. Katikati ni Mhe Kulthum Mchuchuli (MB) na Bw James Warburg (mwenye pama) ambae ni Katibu wa Umoja wa Wabunge Maskauti Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge.
Home
Unlabelled
Wabunge Maskauti ziarani Japan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...