Upinzani wa dancing uliodumu tangia miaka ya 90 kati ya Athumani Diga Diga vs Bosco Cool J nani zaidi? Ufumbuzi kupatikana jumamosi hii ndani ya isumba lounge jollies club

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duhhh hawa jamaa wapo kweli?

    Ankali umenikumbusha mbali sana, walikuwepo akina Bachu, Tass Chiume, Sammy Cool, Marehemu Black Mosses, na hawa wawili hapa Athumani Diga Diga na Bosco Cool J.

    ReplyDelete
  2. Kizazi Kipya mmeona mambo yetu hayo sisi wa zamani?

    Madisko ya miaka ya 1984 na 1985 hayoo pale Kumbi hizi Darisalamu:

    1.Vision 2000 Disco (Maggot kwa sasa pana Ghorofa kubwa la NHC na SOTHERN CORRIDOR INVESTMENT nyuma ya TTCL Makao Makuu.

    2.Studio Space 1900 (Mbowe a.k.a BILLICANS ya sasa.

    3.YMCA

    4.DAR INSTITUTE

    5.SILVER SANDS-RUNGWE OCEANIC

    6.MSASANI BEACH CLUB

    7.AFRICANA BEACH HOTEL-(kwa sasa nadhani ndiyo ile WHITE SANDS)

    Ohhh Disco na Mabreak Dance kwenye Kumbi hizo za Jiji la Dar tuliyakata sana ju kwa juu hewani.

    Mtu ukiruka hewani na kukata mapanga boi kama Helikopta kwa miguu !!!

    Lakini inasikitisha ya kuwa tumewazika ndugu Zetu wengi saaana tulitesa nao ktk Kumbi hizo hapo juu wamesha tangulia mbele za haki!!!

    ReplyDelete
  3. Niukiona Majina ya Madansa hawa nakumbuka Ma DJ wa Jiji la Dar kama:

    1.DJ-Addy Sally
    2.DJ-Choggy Sly (Narehemu)
    3.DJ-John Pantalakis
    4.DJ-Kalikali (Marehemu)
    5.DJ-Gerald
    6.DJ-Ebonite Woo Jack
    7.DJ-KIM (Marehemu)
    8.DJ-Paylonger
    9.DJ-Mmoja maarufu wa Bongo ambaye alihamia Philadelhia-Marekani akafariki miaka ya 2006-2007 akaja zikwa kwao Iringa-Tanzania.
    10.DJ-Young Millionaire (marehemu)
    11.DJ-John Peter

    ReplyDelete
  4. sijafa nipo young millionaire sema siitwi hivyo tena.
    \

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...