Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimfungia
kamba ya kofia ngumu”Helment”Mshindi
wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda mkazi wa Morogoro Yusuph
Ismail(kushoto) baada ya kumkabidhi pikipiki yake leo.Jumla ya
washindi(80)wamejishindia Bodaboda na(47)wamejinyakulia fedha
taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno
Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina
Nkurlu(kulia)akimukabidhi funguo ya pikipiki
mkazi wa Morogoro,Bw.Yusuph Ismair aliejishindia katika Promosheni ya
“Timka na BodaBoda”inayoendeshwa na kampuni hiyo,wakati wa kuchesha droo
ya Promosheni hiyo.Jumla ya washindi(80)waliojishindia Bodaboda
na(47)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na
Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544. Kushoto ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.
Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi
Abdulhussein(kulia)pamoja na Afisa huduma za ziada
wa Vodacom Rashid Maggid(katikati)wakioneshwa namba ya simu na Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia)wakati
wakichezesha droo ya “Timka na BodaBoda”washindi 80 wamejishindia
pikipiki katika Promosheni hiyo,ili kujiunga na promosheni
hiyo mteja anatakiwa kutuma neno Promo kwenda 15544.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...