Kilimanjaro Premium Lager inawakaribisha kushuhudia Bonanza kubwa la aina yake Jumapili hii tarehe 10 November!, Mashabiki wa timu hizi kubwa katika mikoa ya Shinyanga na Kilimanjaro watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
Kuvutana kamba!!.
Foos Ball!!
Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
Nyama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo…

Pale mjini Moshi mkoani Kilimanjaro; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa CCM Mkoa!!. Kutumbuiza jukwaani watakuwepo Malindi Band…. aka The Kilimanjaro Stars.

Na kule mkoani Shinyanga; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika Uwanja wa Shycom!!. Jukwaani watatumbuiza The TMA Band!

HAKUNA KIINGILIO!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...