Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Sukari-ILOVO, Mark Bainbridge (kulia) akipokea sehemu ya vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki Bw. Nazareth Lebbi. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 7 na laki 5 vimetolewa na NMB kwa ajili ya bonanza ya ujirani mwema kwa taasisi zilizopo Kidatu- Kilombero. Wakishuhudia kutoka kulia ni Meneja Utumishi-ILOVO Bw. Beda Marwa, Meneja wa tawi la NMB Kilombero, Bw.Henry Shadolo pamoja na ofisa kutoka ILOVO.
Home
Unlabelled
NMB YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA KIWANDA CHA SUKARI-ILOVO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...