Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (kulia), akimuonesha Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Sinza, Dk. Benedict Luoga, mabenchi yaliyotolewa na benki ya CRDB tawi la Mlimani City kwa ajili ya kupumzikia wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Sinza, Dk. Benedict Luoga akiangalia mabenchi yaliyotolewa na Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.
Sehemu ya msaada wa mabenchi yaliyotolewa na Benki ya CRDB.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hongera Allen your good menager
ReplyDelete