Taarifa zilizopatika jioni hii zinaeleza kuwa mmoja wa Ma-Dj Maarufu sana hapa jijini Dar, Dj Rankim Ramadhani amefariki Dunia leo mchana,na inaelezwa kuwa mwili wake umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.
Tunaomba tuendelee kuvuta subira,tutazidi kufahamishana kwa kadiri ya taarifa hizo zitakavyokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya Marehemu 
mahali pema peponi-AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inna lilahi wa ina ilahu rrajiuun..Allah amfanyie wepesi ktk safari yake Ameen


    Mlomry

    ReplyDelete
  2. Ooh Jamani May your soul rest in peace. Nakukumbuka sana enzi za gorofa ya saba na twiga Hotel madisco ya clouds na kwingine.

    Michuzi please tuletee picha za msiba sie tulie mbali tujumuike nao kiroho.

    ReplyDelete
  3. Inna Lillah Waina Illah Rajiuun.Poleni wote mlioguswa na msiba huu. Pole sana mama Irene na familia kwa mtihani uliopewa na Mwenyezi Mungu. Hakika kila nafsi itaonja kifo. Namuomba Allah Kareem amghofirie dhambi zake Ameen.

    ReplyDelete
  4. Jamani hii hali nihatari sana kwa watu wa namna hii kuitwa mapema na mola wetu , lazima tujichunguze mioyo wetu , napia tuwaridhi wengine tuziba pengo, mwenyezi mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu
    peponi.Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...