Taarifa zilizopatika jioni hii zinaeleza kuwa mmoja wa Ma-Dj Maarufu sana hapa jijini Dar, Dj Rankim Ramadhani amefariki Dunia leo mchana,na inaelezwa kuwa mwili wake umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.
Tunaomba tuendelee kuvuta subira,tutazidi kufahamishana kwa kadiri ya taarifa hizo zitakavyokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya Marehemu
mahali pema peponi-AMEN.
Tunaomba tuendelee kuvuta subira,tutazidi kufahamishana kwa kadiri ya taarifa hizo zitakavyokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya Marehemu
mahali pema peponi-AMEN.



Inna lilahi wa ina ilahu rrajiuun..Allah amfanyie wepesi ktk safari yake Ameen
ReplyDeleteMlomry
Ooh Jamani May your soul rest in peace. Nakukumbuka sana enzi za gorofa ya saba na twiga Hotel madisco ya clouds na kwingine.
ReplyDeleteMichuzi please tuletee picha za msiba sie tulie mbali tujumuike nao kiroho.
Inna Lillah Waina Illah Rajiuun.Poleni wote mlioguswa na msiba huu. Pole sana mama Irene na familia kwa mtihani uliopewa na Mwenyezi Mungu. Hakika kila nafsi itaonja kifo. Namuomba Allah Kareem amghofirie dhambi zake Ameen.
ReplyDeleteJamani hii hali nihatari sana kwa watu wa namna hii kuitwa mapema na mola wetu , lazima tujichunguze mioyo wetu , napia tuwaridhi wengine tuziba pengo, mwenyezi mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu
ReplyDeletepeponi.Amen.